Sunday, February 5, 2012

TANGAZA BIASHARA

Biashara yoyote ile ni matangazo usipotangaza biashara yako sawa na kumkonyeza mwanamke mzuri gizani!

Au mwanamke mrembo anakazana kumkonyeza mwanaume lijari gizani. haiwezekani kufanikiwa katika ulimwangu wa sasa hivi. Tangazeni Biashara zenu.

Friday, November 13, 2009

Tekenya Bongo

Jitahidi sana kutekenya bongo kwa kila unachokifanya ili usijeukaleta misamiati ya NINGEJUA kwani kumbuka kila unachokifanya katika ulimwengu huu kumbuka kuwa kilishafanywa ni vitu vichache saa ambavyo watu wa kawaida hufanya vitu vipya.

hata usomapo Falsafa hii kumbuka kuwa hili niliandikalo lilishaandikwa, hivyo ni vizuri kuwa karibu na watu ili uvae viatu.

sasa niongee kidogo kuhusu michezo maana ndio dhima ya Blog hii mbali na kutujenga kiafya pia michezo kwa asilimia kubwa hupunguza maambukizi ya ukimwi. ukitaka kuhakiki hili anza leo kucheza utaona kitakachotokea.